Recent Comments

HII NDIO SUPRISE NILIYOKUTANA NAYO NILIPOWASILI NYUMBANI TANZANIA JANA USIKU

Nikwa mda mlefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan,na jana ndiyo siku niliyorudi,kiukweli sikutegemea kukutna na nilichokikuta,umati mkubwa wa watu wakliokuwa wamejitokeza kunipokea,kiukweli imenipa faraja sana ,kuona ji kias gani Watanzania wenzangu ,wamekuwa na uzarendo kwangu kiasi hiki,nawashukuru wote walioacha kazi zao,ama kuvunja ratiba zao,na kuja airport kunipokea,Ahsanteni na ninawapenda daima




















Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. tunakupenda tutaendelea kukupenda na tutazidi kukupenda big up Diamond umeiwakilisha nchi tutazidi kukuombea uwe mbali zaidi ya hapa big up sana

    ReplyDelete
  2. Good work diamond..tuwakilishe watanzania

    ReplyDelete