Licha ya kumthamini kama shilingi lakini bahati sina.....
Watoto wa kike ukipiga uno wanafuraaaaahiiii
Nimpende nani Eeeeh!?
|
Achia basi mkwanja fasta,usinifanyie hivyo jaman.... |
|
Noti zikimiminika kwenye jukwaa la Platnumz...... |
|
JB akimimina pesa huku me nalia na moyo wangu..... |
|
Ila watu wa moshi walitisha sana kwa kutunza... |
|
Vijana wangu bwana wanakuaga fasta kwenye kuchkua mpunga show tukimaliza show |
|
Hii ndio rum niliofiokia |
|
Hapa nikiwa kwa bed na PING!!! PING!!! na watu wangu wa town nikiskilizia tym za show zifike nikakinukishe |
|
Babu eeeh kaz na dawa |
|
Timu nzima ya Bongo Movie haikuwa nyuma ikiongozwa na JB....
Miguu ya bia sasa pale kati Mmmmmh! Wakubwa wanafaidi
|
|
Irene Uwoya akitoa shavu kwa Mashabiki,alipendeza eeeeh!? |
|
Snura akitema cheche kwa raia.......Nyerere pembeni kama anamtamani hiv |
|
Rich Rich kama kawa hakukosa.... |
|
Steve Nyerere akimkaribisha JB kusema na FANS...... |
|
Steve Nyerere akimkaribisha Ray Kigosi Jukwaani |
|
Haka kajamaa bwana kana makeke sana yaani nikimuonaga tu lazma nicheke |
|
Mc alikua ni Masanja Mkandamizaji |
|
mnh! Masanja huu uMC wako sasa umezidi.. |
WEMA NA IRENE WAMEPENDEZA SANA, MASANJA ALIKUW ANAMUAMBIA NINI WEMA HAPO
ReplyDeleteSafi kijana, kazi nzuri na hongera kwa kuanzisha Website yako.
ReplyDelete