Recent Comments

Hivi ndiyo show yangu ya songea ilivyokuwa....






Weeeeh....!


Bhaaaaaassssss.....!
Hilo nyomi sasa hata pakuweka mguu palikua hakuna
shukrani zangu ziwaendee wakazi wa songea maana walikua na mizuka balaa mda wote
ilikuwa ni mshikemshike tu... 

Eti,baada ya kuimba nimpende nani huyu ndiye aliyejitokeza...

Hapa Mashetani yashanipanda sasa.....

mnh! huyu dada nae naona alikua zaidi ya shabiki eb jitazamie mwenyewe...

Mmmh! Mtoto alinikamata kwel kwel na usingizi nikaupata...

Haya sasa me sitii neno hapa yangu macho....
Yaani Intro ya Mawazo ilipoanza tu,Bhaaass! Mwanadada huyu ghafla ilikua kama 
kashikwa wazimu.....
10x alot mumy for being part of my fans
Mnh haka kadogo kangu Moses kunambi nako kana bahati ya kutunukiwa na warembo...
eb cheki walivyomzingira...LOL!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. Kama kawaida yako hukosei kwenye kutoa burudani Diamond

    ReplyDelete
  2. on a serious tone dogo your an artist! na sasa your at the pick! in case you read this comment take note that''kila unachofanya fanya ukijua kuwa ''u cant eat your cake and have it'' shika sana ulichonacho nakila ufanyacho fanya at your best! and simply BE YOUR SELF

    ReplyDelete