Recent Comments

Zanzibar tour..#Ziff

Dah! leo ilikua kidogo tu tuachwe na Ndege

Hapa tukifanya last chek'in na Wasafi wangu
Katika maisha yangu yote leo ndo ilikua mara ya kwanza kuvaa pens mbele ya hadhara na tena imenibidi tu kwasababu nna kidonda kwenye mguu...basi nilikua kila dakika najishtukia....Ebu nisaidieni jamani nikivaa inanipendeza kweli ama nachekesha.. maana miguu yangu nayo Mmmmh!
Dah! yani ilikua hadi ndege ishaanza kutaka kuondoka kabisa ila tu mwenyezI Mungu alikua nasisi na niwashkuru sana uongozi mzima wa Precission Air kwa kuweza kutusaidia la sivyo ingekua kama ya Arusha..LOL!
Hapa tukiisubiria igeuke

Hapa nikiongea mawili,matatu na mmoja wa kampuni hiyo
Dah! cjui itarudi au ndio mazima!??
Hapa nikijaribu kuuliza kweli mzigo unageuka au ndo unaenda kupaa twende zetu melini
Babueeeh japo tupo kwenye stress ila unyama nao unahitajika...

Hapa gari ikaja ya kutusogeza kwenye pipa

Wasafiiii............
Dah! kweli Mungu mkubwa....
Hapa nikipanda kuelekea zanzibar...
Hapa nikitua Zanzibar.....
Bhaaaaaaaassssssss......!

Hapa tukiwa airport zanibar tukisuburi mabegi

Emma & Dumi
Kunambi & Rama


On ma way to Hotel
Hotel sasa,.. tukiwa na mmoja wa wenyeji wetu toka ZIFF alotupokea
Hapa tukipeana mawili matatu toka Dar na Zanzibar..

Hapa nikicheck'in


Kazi na dawa babu eeeh.....LOL!

Don't stay far! soon Mzigo Unaendelea.... Magetoni,gym,rehealsal...etc
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. E bwana u luk smart na hiyo short wala usiogope me i lyk it ww hata uvae vp Dmnd u luk mwah bana. Tuso bby

    ReplyDelete
  2. Ume2sua sn kaka!....Ful kupoteza napamba kali toka wasafi classic.

    ReplyDelete