Recent Comments

After only one swimming lesson i`m now a PRO


Most of the time nikiwa free hutumia muda wangu kuwa kwenye maji,
na hii hunifanya nipate mawazo na Akili mpya ya muziki na Maisha kwa ujumla
lakini before nilikuwa sijui kabisa kuogelea hata kidogo nilikua mkaaji tu




Dah! kuna jamaa si akanishtukia kuwa sijui kuogelea
Ikanibidi nianze kupewa somo
Dah! alivyoniachia nikanywa vikombe saana...
Uh! eti baadha ya shurba yote akaniambia niendelee tu kujikaza.... mpxiiiiiiuu....

Duh! kweli akuna alozaliwa anajua ghafla si nikawa mnyama...
piga sana maji kama samaki
Na mgongo juu
Weeeeh...
Bhaaaaaassss....
Das my baby`s Favourite Picture.....eti akiona anajisikia ku co...e! LOL





Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. dimond, i like you, good music, good swag, so am not hating... but pliiiz tafuta shorts za kuogelea, la sivyo ipo siku hiyo boxer itashuka, uwiiii, sijui utafanyaje...ol the best learning how to swim...its a gud sport for singers.

    ReplyDelete
  2. vipi america waja lini na niwapi kama vipi can i get the address bro

    ReplyDelete