It`s a new day, and am so Happy to share this Photo nanyi.....Coz ni watu muhimu sana kwangu,mmenitoa mbali tangu nikiwa Naseeb hadi sasa kuitwa Diamond Platnumz tena na ma A.K.A kibao..imani yangu ni kwamba bila nyinyi hakuna Platnumz, wala Wasafi thus'Y kwa lolote hupenda sana kuwapa kipaumbele ili kwa pamoja tushirikiane katika kupeana mawazo mawili matatu ya Kisanaa na Kimaisha kwa ujumla... haya eb nipeni Comment zenu kwenye hilo 4to!
I know you know we lov you but you should lov we too So please can gv me your email address for more issue cauze i cant mention public Please if you don't mind or you my visit www.mehboubkhan.blogspot.com for more music info
Hoooooooooooooooot, huo ndo muonekano wa ki celebrity bwn. Entertaiment industry haitaji ujue tu kuimba na kucheza, inahtajika uvae vizuri na uuweke mwili wako kwenye muonekano mzuri. Hata wenzetu nje wasanii wengi wanatunza miili yao km hvyo kasoro wale wachache tu ambao unene ni asili yao kbs kbs. Ukiimba watoto wakapagwa ukavua shati alafu kifua kikawa cha kulipa hvyo duuu na hzo six pack si ndio mziki unanoooooga?????? Kwa mziki unaopiga ukiwa na kitambi mhmhhhhmmmh haitanoga mwaya. Hongera mpenz me fagilia wewe saaaana.
I Love you are picture . Umebadilika si mchezo , and i love you are voice so keep the good work. Na nimesikiya unakuja Belgium mwezi wa kumi na moja , can't wait to see you !!!
I know you know we lov you but you should lov we too So please can gv me your email address for more issue cauze i cant mention public Please if you don't mind or you my visit www.mehboubkhan.blogspot.com for more music info
ReplyDeleteIt is a good photo Diamond.....
ReplyDeletehey big^^ e pic z nic ...u knw u always stay on top..big rupp!!
ReplyDeleteLukn gud
ReplyDeleteSio mbaya sana Diamond ingawaje umeonekana kama umetoka kulala!! but u lukin gud bro. Plz if u don't mind contact with me via exaavery@gmail.com
ReplyDeletehujawahi kukosea rais
ReplyDeleteHoooooooooooooooot, huo ndo muonekano wa ki celebrity bwn. Entertaiment industry haitaji ujue tu kuimba na kucheza, inahtajika uvae vizuri na uuweke mwili wako kwenye muonekano mzuri. Hata wenzetu nje wasanii wengi wanatunza miili yao km hvyo kasoro wale wachache tu ambao unene ni asili yao kbs kbs. Ukiimba watoto wakapagwa ukavua shati alafu kifua kikawa cha kulipa hvyo duuu na hzo six pack si ndio mziki unanoooooga?????? Kwa mziki unaopiga ukiwa na kitambi mhmhhhhmmmh haitanoga mwaya. Hongera mpenz me fagilia wewe saaaana.
ReplyDeleteI Love you are picture . Umebadilika si mchezo , and i love you are voice so keep the good work. Na nimesikiya unakuja Belgium mwezi wa kumi na moja , can't wait to see you !!!
ReplyDeleteas usual luking gr8 bro...m lov u,
ReplyDelete