Honestly nimejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu
juu ya kazi zangu za muziki ninazozifanya, tena kubwa zaidi ni kupewa heshima hii kubwa ya kuwa King of Bongo Flava...kiukweli imenipa matumaini sana ingawa nafsi yangu inaniambia Bado sistaahili kuitwa jina hilo kwani bado nna safari ndefu sana.....
Hakika hii inaonesha ni jinsi gani support yenu mnayonipa kutokana na juhudi ninazozionyesha zinazidi kuzaa matunda na kufanya muziki wetu wa bongo fleva uzidi kupiga hatua na kufika mbali zaidi......Asante sana Mwenyezi Mungu, Mama na Familia yangu, Management na shukrani kubwa kwako wewe shabiki yangu na mdau mkuu wa muziki huu........Aaaamen!

unaandikwa coz ww mkali tna sn 2...wngne wasubri kwanza mana unadeni kwa Africa,wa-TZ na East Afrca umeshawalipa,peperusha Bendera mnyamaaaaaa
ReplyDeleteHonera sana Platnumz
ReplyDeleteYh yr the king of bongo flava off course always i tell yr the best of best congratulation president wa wasafi.
ReplyDeleteHata kama nyumbani watu wengine hawakupi haeshima yako....anza leo kujitambua kwamba wewe sasa hivi ni msanii mkubwa sana.
ReplyDeleteHakuna utakachofanya watu wa nchi za nje wasijue. Coz kila wakiangalia msanii gani yupo zaidi masikioni mwa watu jibu linkuja kwako...
keeep it up.