Recent Comments

HII INAONESHA NI JINSI GANI KWASASA WATANZANIA TUMEANZA KUWA WAZARENDO....

Zamani ilikuwa ni vigumu sana kukuta kitu kama hiki...pengine ungekuta kaandikwa Usher Raymond
50 Cent...Bob Marley n.k ila kwasasa Watanzania wameanza kusanuka na kupenda vya nyumbani....
kiukweli mi mwenyewe sikuwa na hili wala lile ila nilipokuwa katika harakati za kuelekea Airport
ghafla nilikutana na hii gari aina ya Ice...WATANZANIA TUPENDE VYA KWETU

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments: