Recent Comments

Lady J Dee & Gadner wakiwa Mlima Kilimanjaro

Ikiwa ni siku ya nne toka waanze safari yao ya kuupanda Mlimani na hizi ni baadhi ya picha
ambazo zikionyesha wako katika hatua nzuri katika kuupanda mlima huo.
Maendeleo ya  safari mpaka sasa
January 8-Mandara Hut(2700m)-Horombo Hut(3720)
Masaa ya kutembea:5
January 9-Acclimatization Day at Horombo Hut
Masaa ya kutembea :4
January 10 Horombo Hut(3200km)-kibo Hut(4730)
Masaa ya kutembea :5
Sasa leo wameanza kuelekea Uhuru Peark(5850) kupitia Gillman's point(5685m)

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment