Msanii wa muziki wa nchini Uganda ambaye pia anasimama katika namba 10 kutoka top 10 ya wanamuziki tajiri zaidi Afrika, Jose Chameleone wa Uganda, anatarajia kuifanya tarehe 26 mwezi Aprili mwaka huu kuwa siku kubwa sana ambapo ndipo amepanga kuzindua albamu yake ya Badilisha.
0 comments:
Post a Comment