KURA ZA UCHAGUZI MKUU KENYA ZIKIZIDI KUESABIWA BAADHI YA MAJIMBO BADO AYAJAESABIWA,LAKINI KINYANG'ANYIRO HICHO KIKIWA KIMEHELEMEA KWA UHURU KENYATTA NA RAILA ODINGA........ TAHARIFA MPAKA SASA ZILIZOTUFIKIA NI KUWA HALI YA AMANI YAZIDI KUIMARIKA NA USALAMA WA WANANCHI NA MALI ZAO ZIPO SALAMA....HAKUNA FUJO ZILIZOTOKEA ENEO LOLOTE LA NCHI HIYO TOFAUTI NA HABARI ZINAZOZUSHWA TU...
0 comments:
Post a Comment