Recent Comments

MAELFU YAFURIKA KUMPOKEA DIAMOND UKEREWE

Tarehe 16 March Mchana Niliwasili Wilaya ya Ukerewe...
Majira ya Saa 7 Mchana....Namshukuru Mungu Tuliwasili salama
Mimi na Crew Yangu Nzima ya Wasafi...zifuatazo ni Picha
nilivyowasili na kupokelewa na maelfu ya wana ukerewe
kiukweli nilifurahi na kufarijika sana...ni upendo uliozidi kifani...
much Love kwao....!!

Watoto kwa Wakubwa walifurika bandarini kumpokea prezdah wa Wasafiii....


Nikiwapa Mikono Mashabiki waliofurika kunilaki Bandarini....
Umati wa watu Waliacha kazi zao na kuongoza Msafara wangu
kuelekea Mjini....


Thanks God kwa Rehema zako na baraka zako zinazonifanya niwepo
hapa...

Weka Mkono kwa Hewa wana wa ukerewe Prezdah Nimewasili kutii Kiu zenu..!
Msafara wangu ulipita karibia na shule ya Msingi ukerewe na Hali ilikuwa hivi
kufanya hadi wanafunzi kutoka madarasani na kuja kushuudia prezdah
alivowasili wilayani UKEREWE.
.


AMANI NA UPENDO NDIO TASWIRA YANGU...
HESHIMA KWA WAKUBWA NA WADOGO NDIO
NGUZO YANGU....!!




Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment