Huyu mtoto aitwae Sanele anasema wazee wa zamani ndio walimuamrisha aoe lakini pamoja na hilo, hawajasaini
cheti cha ndoa na wala hawaishi pamoja ambapo wazazi
wa huyu bwana harusi walichangia harusi kwa kutoa euro
1500 ambazo walisisitiza ni kama matambiko na sio kisheria.
Mtoto huyo amekaririwa akisema “nilimwambia mama yangu,
nahitaji kweli kuoa na nimefurahi nimemuoa Helen lakini
nikikua nitaoa mwanamke wa umri wangu”
Mama mzazi wa Sanale anasema “babu yake ndio alimchangulia
Sanale amuoe Helen kwa sababu yeye(Babu) anampenda, na
wamefanya hivyo ili kutimiza maagizo ya wazee wa koo
ambao wameshafariki, yani ni kama matambiko”
Hii imetokea Tshwane South Africa.
|
Hyo kali
ReplyDeletebhasii hatari hiyoooo jamani dunia ina mambo
ReplyDelete