Nikiwa katikati ya safari Njiani kuelekea Mkoani Geita Tulipaki Gari njiani kwa ajili ya Kununua Soft Drinks, Ghafla baada ya wananchi kugundua kuwa kwenye gari ailikuwepo Diamond na team yake ya Wasafi,Gari lilizingirwa na watu mpaka kufikia haliya Kutoweza kuondoka, kila mtu alitamani kunisalimu na kunipa mkono wake wa kheri...ilibidi kwa heshima na taadhima nisimame na kuwasabahi, ndipo kisha nikaendelea na safari..hakika nina kilasababu ya kumshukuru mwenyez mungu
Endelea kuwa mtu wa watu.
ReplyDelete