Habari mabibi na mabwana...ni siku nyingine nzuri tuliojaliwa uzima na amani tele.....mapenzi yangu ya dhati katika utendaji wangu wa kazi naendelea vizuri kwa kudra za mwenyezi mungu.. Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa uzima na kila jambo.....sio kama ni mkamilifu sana kuwepo sahihi bali kwa rehema zake na upendo wake juu yangu mimi na wewe tupo salama mpaka muda huu.....!Napenda kuwaomba radhi mashabiki wote wa blogsite yenu ya jamii ya This is diamond kwa kuwa kimya kwa muda wa wikii moja kutokana na matatizo ya kiufundi yaliokuwa nje ya uwezo wetu....lakini ninayo furaha kuwataharifu kuwa kila jambo limeshugulikiwa na mambo yamerudi kama zamani na yataenda saawia.....!! Napenda kuwataharifu mashabaki zangu kote barani afrika na ulimwenguni kote,hususani mashabiki zangu wa Nchini Congo....kuwa Toto la kimanyema...mtoto wa Sandrah the presdent himself and the only king in Tanzania Diamond platnumz all the way from Tanzania,Bongoland.... kutoka tandale....kuwa siku ya tarehe 11 mwezi wa 5 ntakuwa ndani ya ardhi ya Congo,Uvira... Sintokuwa pekee yangu ntakuwa na Crew yangu nzima ya Wasafi wakiongozwa na Dumi Utamu, Mose Iyobo,Rama tonser na Emma Platnumz... Ntakuja kuwalewesha mpaka kesho kisha ntachagua wa kumpenda....!! Siku hiyo ntakinukisha mpaka niakikishe uvira yote inakuwa kama Bongo.....!!
Congo This Is For u.......!!! kaa Tayari....!! Mahana Congo yote itakuwa ikimsubiri mfalme toka bongoland siku hiyo UVIRA Itawaka moto...!!
I can see now you begin a musician, but my advices are before you come here UVIRA = You have to talk with Patcho wa Mwamba, Nyosh and other Congolese musician who live in Tanzania of how you can contribute us, we don't like stupid concert like ones in Rwanda, Burundi and Uganda and if you want to respect your country Tanzania from music you must do better like FALLY IPUPA did concert in Dar es salaam..... Ingetaa ( CONGO NUMBER 1), Na Pesa bana Congo mikilli respect ya concert oyo

ReplyDeletehahahaha huyo mkongo noma. Kafanye mamboz D wakongo wa apriciate
ReplyDeleteKawaonyeshe vle BA mutu na Tz banaweza fanya
ReplyDelete