Nyota Njema uonekana Asubuhi.........Mshukuru Mungu kwa kuwa umeamka salama......si kwamba sisi tu wasafi sana na tumempendeza mungu kuwepo mpaka sasa lakini kwa neema zake na rehema tupo hapa...... wengine wapo mahospitalini...wengine wamepumzika milele leo lakini wewe na mimi bado tu wazima....... usikufuru mungu kwa magumu uyapitia hayo....maana yeye anatuwazia mema kila siku hata kwa mabaya tutendayo......upendo wake wa dhati juu yetu ndio nguzo kuu ya mafanikio yetu.... magumu Yote upitia hayo mshukuru mungu kwa kuwa yeye anajua sababu nzima ya wewe kuwepo hapo muda na saa hii....!! Nakutakia wewe siku njema yenye baraka tele mbeleni...kila ufanyalo mwenyezi mungu akufanyie wepesi......!!
AMEEN
ReplyDeleteNiaje Naseeb,hiyo nyumba aliyoiweka Millard Leo kwenye page yake ya fb ndo yako ya kwanza kujenga tangu umeanza muziki au?please answer me?
ReplyDeleteinshaallaah
ReplyDelete