LOCATION ILIANZIA HAPA.... |
Matayarisho yakianza....!! |
Lights On.....Camera On Set....!! |
Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....? |
Usafii kama kawaida yangu.....!! |
DJ Ommy Crayz the only handsome dj in town akiwa na msanii nguli kutoka South Africa Qboy Mnyama....!! |
Dada yangu kipenzi Halima kimwana alikuwepo asubuhi asubuhi kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!! |
Diamond Platnumz with Flowers....! |
From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma Khan,Faridah,Mariam and the President Himself Diamond...!! |
Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...! |
President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...! |
The Bigdaddy Himself Adam Juma akifanya yake....!! |
Ilikuwa Location upande wa Casino..... |
Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari ilianza kuelekea sinza kumaliza shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!! |
WASAAAFIIIIII......!! |
Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!! |
MKONG'OTO JAZZ BAND....!! |
Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto jazz band na kuchora michoro tofauti ....!! |
on set...location #2 sinza....... |
DJ OMMY CRAYZZ...! |
Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata.... |
hapa diamond na Pacha wangu Ney nimewaelewaaa sanaaa hapo sawaaa ni mkong'oto jazz band na wasafii paomoja sana by: LINK CLASSIC
ReplyDeleteDaaah ilikua location nzuri sana
ReplyDeleteKuanzia New africa hotel mpaka sinza
fresh ndugu
mumeweza!!!!!
Video inaonekana itakuwa kali sana,kazi nzuri kwenu Naseeb na Ney.Lamwisho out of topic,mzeiyah Naseeb huyu anayeandik hizi habari zako ni professional au ujanjaunjanja tu?anashindwa matumizi ya "ha" na "a" au "za" na "dha"?u ar now an international up going artist,Kwanini hizi kazi usimpe mtu proffesional sio wajanja wajanja!web yako inatazamwa sana tu,sasa unapokuwa like unafanya mzaha watu hatuelewi
ReplyDeleteBadilika bas hivyo visut kila kioo babu,unajitahid bt kuwa
ReplyDeletembunifu sut kila nyimbo inaboa
daah! Umetsha brada! Coz yn bomba la duuude!
ReplyDeleteNICE kwa kweli
ReplyDelete