Recent Comments

TANGAZO KUTOKA KWA DIAMOND JUU YA WATU WANAOTUMIA SOCIAL NETWORK KUFANYA UTAPELI KUPITIA JINA LAKE

Napenda kuwataharifu fans wangu kuwa...kuna tabia imekuwa
 ikijotekeza kwenye social networks.
Tabia hiyo imekuwa ya kitapeli ya kufungua account
mbalimbali kupitia social networks
na kuanza kutuma massage za ajabu.....jambo ambalo
mimi binafsi sipendezwi nalo.....
nimelivumilia lakini nikaona isiwe vibaya nikiwajuza tena
 kuwa mkipata ujumbe wowote
kupitia social network kupitia jina langu kuomba
 msaada mtambue kabisa
si kweli......Jambo lolote kuhusiana na mimi binafsi utapata
 updates zangu kupitia
Account yangu ya facebook by Diamond platnumz ambayo ipo
 connected na tweeter
&Instangram pekee......lakini vinginevyo
sintousika na tuhuma zozote.....

Binafsi nimeshangzwa na ujumbe huu wa mtu ambae anatumia account facebook kwa jina
la Diamond platnum,kwa kuwasambazia ujumbe ufuatao:
KARIBU KTK PARTY YA KIMYA KIMYA YA KUMSHUKURU MAMA YANGU MPENDWA MAMA NASEEB.
KADI YA MWALIKO INAPATIKANA ATRIUM HOTEL BAADA YA KUTOA MCHANGO WAKO
ITAFANYIKA KTK MJENGO WANGU MPYA WA KISASA ULIOPO TEGETA NEXT WEEK.
THIS PARTY IS 4 ONLY INVITED PEOPLE..COZ IS SUPRIZING CELEBRATION PARTY
KADI ZINATOLEWA KUANZIA SAA 10JIONI HADI SAA3 USIKU MARA BAADA YA KUPOKELEWA MCHANGO WAKO.
MCHANGO NI KIASI CHOCHOTE NA UTUMWE KTK NAMBA YANGU YA TIGO.
KARIBU..
078889889 hy ndo namba yake
NB: MARA UTUMAPO MCHANGO WAKO UTAPOKEA SMS YENYE NENO LA SIRI AMBALO UNATAKIWA KUFIKA NALO KWA MUHUSIKA NA KULITAJA.
NIMEWEKA MCHANGO KUPUNGUZA IDADI YA WATU...
Niliuzunika sana kwa mambo kama haya bado kuendelea kufanyika kwenye social networks......
ni hayo tu my truly fans wa Diamond i hope mmeninyaka wote....... PEACE & LOVE


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

5 comments:

  1. Kumamae zake huyo diamond fake anazogoa mi nusu nitoe hela

    ReplyDelete
  2. duh! Ebwana ni hatari, 2mekupata sana broda, one love bro.

    ReplyDelete
  3. Jau kweli ani
    kutaka kuchafuana tuu

    ReplyDelete
  4. diamond,najua hii sio sehemu sahihi ya kukuambia jambo hili,ila kifupi jambo ulilomfanyia wema sio jambo jema,kumbuka alikuwa sehemu ya maisha yako,na hata kama bado anakupenda sio lazima umuadhibu kama ulivyofanya,nilikutana na wewe nairobi,tulipiga picha pale airport na nilikuona mtu mwema sana,wewe ni kama mdogo wangu,sijapenda kabisa jambo ulilomfanyia mwenzako,kumbuka maandalio ya moyo ni ya mwanadamu lakini jibu la maisha yako linatoka kwa mungu,uko na penny,yawezekana unapanga kabisa kumuoa,lakini kumbuka pia mungu anamipango yake,watanzania wamekupenda sana,ila kwa unayoyafanya,hasa katika suala zima la movements za wanawake,kumdhalilisha mwanamke sio kitu chema,machozi ya wema yana majibu toka kwa mungu.usiangalie media,jua maisha kila mtu atasimama kwa zamu yake,mtafute wema na muombe msanmaha,sikuogopeshi ila huko mbele unakoelekea sio kuzuri kwako.pia kumbuka kazi yako ya sanaa inategemea watu ambao ndio mashabiki wako,fanya research utajua wengi ni wanawake...wanaume wengi hawakupendi kwa sababu unapendwa na wanawake,hivyo jirekebishe.sio lazima post hii uiweke hadharani,isome fanyia kazi.

    ReplyDelete
  5. EvEn mE izO accOunT zNaniaCHAga diLeMa...teL tHeM bROw!

    ReplyDelete