Recent Comments

DIAMOND ALIVYOPOKELEWA NCHINI COMORO

Awali ya yote ningependa kutanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu aliyeniwezesha mimi na team yangu nzima ya wasafi kusafiri na kufika salama visiwani Comoro,lakin pia siwezi acha kuwashukuru mashabiki wangu wa kweli kwa dua
wanazoendelea kuniombea..tulifika Comoro mapema jioni na kupokelewa na umati wa watu waliokuwa an hamu ya kumwona mtoto wa kitanzania nikitua nchini mwao
  hizi ni baadhi ya picha za matukio jinsi wana Comoro walivyonipokea

Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na
 nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi
walivyonipokea vyema..kweli Africa yote ni ndugu wa baba mmoja





Baadaya kutoka Airport nilifanyiwa mahojiano
na kituo cha televisheni cha nchini Comoro..
usikose kutembelea this is diamond kujua chochote
 kitakachoendelea ..nawapenda nyote

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

4 comments:

  1. fanya mpango wa vdeo 2one bhana

    ReplyDelete
  2. hapooooooo ndiyo nilipokuwa napataka.diamond upo juu unapendwa kila sehemu.wenye wivu wajinyonge.

    ReplyDelete