Ile siku na tarehe niliyokuwa ninaisubilia kwa
hamu ndiyo imewadia sasa,mashabiki zangu
woote wa Kinyamwezi aka Tabora
huu ndiyo wakati wenu....Toto la
kimanyema...mtoto wa bi Sandrah
the Prezidah himself toka Wasafi
Diamond platnumz
siku ya
tarehe 28 mwezi wa 6 pale
FRANKMAN PALACE kwa 30000 za
kitanzanmia ntaanza na wale wa ki-VIP
then ile tarehe 29 june sasa..watu
wangu woote kwa elfu tano tu(5000) tunakutana Uwanja
wa Ali hassan Mwinyikwa pamoja tutalewa na kisha
ntachagua mmoja tu wa kumpeleka kesho
yake kwa mama Naseeb..kama ilivyo ada
ntakuwa na Crew yangu
nzima ya Wasafi wakiongozwa na Dumi Utamu,
Mose Iyobo,Rama tonser na Emma Platnumz...
Kazi yetu itakuwa ni moja tu...kukuondolea
stress na kukupa burudani halisi ya kisafi
sawa habari tunayo kaka,lakini bado jambo moja,mimi hapa sikufi roho mpaka nijione mmoja wa timu yako..lisemwalo na lisemwe
ReplyDeleteyou are most welcome...
ReplyDeletehacha kujishebedua ww DOGO! siulikuwa unawatambia wenzio eti mwaka huu 2013 utafunika kwa tuzo mbona umezidiwa hata yuleee jamaa WA KUKATA MAUNO? UNALO HILO! NYOTA NDO HIIII INAFIFIA TARATIBU! KINGENE NA MAMA SEPATUNDA ALIKUWA ANAKUBEBA! MUKAONGOZANE NA PENNY MKASAFISHE NYONTEE! TEEEH TEEEH TEEEH! AIBU YA MWAKA HATA UMESISHINDWA KUWEKA KWENYE BLOG YAKO KUHU TUZO!
ReplyDeleteAcha roho ya Korosho ww JOY. Jamaa wamembania nyimbo zake zisiingie kwenye nomination wakijua kuwa atawashinda wengine wote na ingekuwa hivyo.
ReplyDeleteWewe uliona wapi mtu anakuwa mwanamuziki bora wakati hana hata nyimbo moja iliyoshindanishwa...!?????????? JIULIZE kwa nini? Kwann hao waliopata tuzo 2 au 3 hawakuwa OVERALL WINNERS...!?
NDIO MAANA WATU WENGI WAMEKUWA WAKIZIPONDA HIZI TUZO ZA KILI KWA VILE ZINAWABEBA WASANII WASIO NA UWEZO NA ZINA MIZENGWE MINGI.
KUBALI KATAA HUYU DOGO YUPO JUU YA WOTE KWA SASA NA ANAPIGA HELA NDEFU. EMBU CHEKI KIINGILIO CHA SHOW YA TABORA SH. 30,000.00...! NANI KATI HAO UNAOWAJUA WEWE ANAWEZA AKAPIGA KWA BEI HIYO? LABDA JAY DEE PEKEE.