Star kutoka Hollywood Miley Cyrus ameweza kufunguka kupitia radio station nchini marekani kuhusu ukaribu wake na mwanamuziki kutoka Marekani pia Justin Bieber......Hali hio imekuja baada ya kuzushwa kwa kuwa wawili hao kuwa karibu kupitia social networks ya mtandao wa Twitter baada ya mara nyingi kuonekana kuongea wazi wazi..... Miley Cyrus star wa muziki na mcheza filamu aliejipatia umaarufu kupitia Movie moja ya series iendayo kwa jina la Hannah Montana....!! Akihojiwa na Radio station hiyo,mtangazaji alimuhuliza kuhusu ukaribu wake na star huyo kutoka canada Miley alifunguka hivi.... ''Mimi na Bieber ni marafiki tu na tunapenda urafiki wetu,kwanza nilikuwa situmi twitter, kama unakumbuka natumiaga twitter nikiwa karibu kutoa album na movie zangu lakini mara nyingi uwa nipo nipo tu.....Bieber alinitafuta kutokana na jambo lingine lakini kutokana na ili kuzuka sina budi kusema kile ambacho bieber alinitafutia kuweka wazi kila kitu na kutoa maneno yanayozaga.....Bieber alinitafuta kufanya nae kazi, kufanya nae collabo lakini nilikuwa sijamjibu lakini kupitia hapa hapa bieber anaweza akatambua sasa Mimi binafsi nimekubali kufanya nae collabo,sasa ni yeye tu ajipange na aseme ni kipi alichokuwa anataka kufanya...nadhani mtakuwa umehelewa ukaribu wangu na Bieber.......
Hayo ndiyo aliyosema Mwanadada mwenye umri wa miaka 20 miley cyrus akimjuza pia Justin Bieber kukubali collabo na yeye.....
Kwa upande wa Bieber alionekana akionesha furaha yake kupitia twitter akisema ''anajisikia mwenye furaha sana siku ya leo,sidhani kama siku hii itapita bure lazima niserebuke na watu wangu wa karibu.....vitu vizuri kuja karibuni...'' We unaonaje.....? furaha hii imekuja baada ya kupata taharifa kutoka redioni kuwa Collabo yake imekubaliwa au ni kuna mengine ambayo yanamfanya Bieber kuwa mwenye furaha zaidi..... Tusubiri tuone kitakachojiri....Collabo kati ya Justin Bieber na Miley Cyrus....!!
0 comments:
Post a Comment