Duru kutoka kwa ofisi ya rais Jacob Zuma,
zinasema kuwa Mandela mwenye umri wa miaka 94, yuko
zinazohusiana
Afrika Kusini
Jamaa zake pamoja
na aliyekuwa mkewe Winnie Madikizela-Mandela,
walimtembelea hospitalini Jumatatu
Mwanawe Mandela
Zenani (Mandela-Dlamini), pia alirejea kutoka nchini
Argentina, ambako yeye ni balozi.
Serikali imekuwa
ikisema kuwa hali ya Mandle inatia wasiwasi ingawa
madaktari wameweza kuidhibiti.
Amekuwa katika chumba
ya wagonjwa mahututi tangu kulazwa hospitalini Jumamosi
kwa mara ya tatu mwaka huu.
Mwezi Disemba , bwana
Mandela alilazwa hospitalini kwa siku 18 baada
ya kupata maradhi ya mapafu,
Kumekuwa na taarifa za
simanzi kwa mara ya kwanza huku familia yake ikikusanyika kando yake,
baadhi ya watu wakisema
kuwa ni muda wamwache Mandela
aende zake.
Bwana
Mandela, mwenye umri wa miaka 94, alipelekwa hospitalini mapema
Jumamosi , ikiwa ni mara ya tatu kulazwa hospitalini mwaka huu.
Kwa mujibu wa duru za urais,
Mandela amekuwa akiugua kwa
muda mjini Johannesburg baada
ya kukumbwa tena na ugonjwa wa mapafu. Msemaji
wa serikali Mac Maharaj amesema kuwa maafisa katika hospitali
wanataka kudhibiti idadi ya watu wanaozuru
hospitali hiyo ili wampunguzie bwana Mandela usumbufu.
Alilazwa hospitalini baada ya hali yake kuwa mbaya zaidi mnamo
Jumamosi.
Kwa mujibu wa taarifa za urais, Rais
President Jacob Zuma, amerejelea wito wake kwa watu nchini
Afrika Kusini kumuombea Madiba wakati huu anapougua...
0 comments:
Post a Comment