Mose Iyobo & Emma Platnumz alfajiri kabisa wakinisubiri Ubungo tayari kabisa kwa safari.... |
Rama Mpauka busy on phone...... |
Dumi Utamu vanilla.....!! |
Safari si ndo ikaanza kuelekea Ifakara...!! |
Baada ya Masaa 6 tulikuwa tumewasili Ifakara .....Hapa tukipokelewa na wenyeji wetu,tukiingia kwenye mgahawa kupata soft drinks''Nshamiss Coca'' |
Baada ya Mapumziko mafupi tukiondoka maeneo hayo kuelekea hotelini....nilikuwa nimechoka sana safari ya masaa 6 kwenye Gari.... |
0 comments:
Post a Comment