Siku ya jana kumekuwa na uvumi kuhusu mwaimbaji
wa nyimbo za asili bi Saida Kalori zikisema kuwa
amefari baada ya boti aliyokuwa akisafilia
kuzama,lakini taarifa tulizozipata kutoka kwa
mwandishi Neville meena
zinasema kuwa Saida yuko
jijini Dar es salaam na ni mzima tofauti na ilivyoripotiwa
“Nimetafuta namba yake ya simu sijaipata, ila
taarifa kutoka Bukoba na ofisi ya Ofisa Utamaduni
Muleba zinasema siyo kweli... kulikuwa na uvumi
mwingi mjini Bukoba na Wilayani Muleba kuhusu
mwanamuziki huyo kufariki lakini baadaye
ikathibitika kwamba hakuwa mmoja wa abiria.” ameandika Meena.
0 comments:
Post a Comment