AY MDOGO WANGU KUNA KITU UNAKIKOSA, MUZIKI WA AFRICA HAUCHUKULIWI TU KAMA BIASHARA NA KUWA NA CONNECTION TU. MUZIKI WA MWAFRIKA YEYOTE UNATOKANA JAMII, NA UTAMADUNI WAKE: KATIKA MASWALI ULIYOULIZWA HAKUNA HATA MOJA ULILOJIBU, OMBI LANGU NAKUOMBA UENDE BAGAMOYO KASOME KOZI HATA YA SIKU MOJA UJUE WAJIBU WAKO KWA WATU WAKO! UNAIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA SI KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJITUMA, WEWE NI BALOZI UNAYEWAKILISHA IMANI,UPENDO, UMOJA NA UZALENDO WA WATANZANIA UNAOTOKANA NA UTAMADUNI UNAOUIMBA KATIKA NYIMBO ZAKO. MIMI KAKA YAKO WA LYANDEMBERA IFUNDA

ReplyDelete