![]() |
| Backstage nikisubiria go ahead nikafanye maujanja yangu kwa steji... |
![]() |
| Ajajajaja....hapo sasa,ndo vile twafanyaga kwa jukwaaaa..... |
![]() |
![]() |
| Qboy Msafii & Dj Rommy Jones... |
![]() |
![]() |
| Ebhana eeeh watu bado wanataka niendeleee.....mpera mpera tu,afe kipa afe beki lakini ushindi lazima |
![]() |
![]() |
![]() |
| Siwasiki watu wangu wa Nairobi.....nimekuja kuwabamba ile mbaya.... |
![]() |
| Tumeelewana watu wangu wa kweli........Mi naona kama muda umeisha vile.... |
![]() |
| Si ndo mashetani ya kigoma yakapanda ni kuanza kuwapelekea kama Bongo tu... |
![]() |
| Duuh Ebhana eeeeehhh.....NIMEMALIZA...... |












Bwana Diamond Mola amekubariki na kipawa, endelea hivyo hivyo kama bado nyota yang'aa..! twakupenda kaka kwa nyimbo zako na show!
ReplyDeleteHUYU DOGO ANAWAPA SHIDA SANA WALE WOTE WANAOMCHUKIA. MAFANIKIO YAKE YA KILA KUKICHA YANAWAKONDESHA NA KUWAKOSESHA USINGIZI HATERS WAKE
ReplyDeleteBIG UP DIAMOND
It's your talent from God my brother, big up and also plan to Visit Bungoma - Western Kenya. we really love your Music as they're just superb.
ReplyDeleteEe bhana eh kazi yako nzuri me naipenda sana. Acha waseme lakini wa kiume umejitosa na madude unayateremsha kiukweli. Nakukubali sana brow
ReplyDeleteWasaf!!!! Big up kwako kwa show zur mzee kasemaa
ReplyDeletekazi njema uliotufanyia jana...lakini video ya ukimwona,,,twazidi kuisubiri
ReplyDeleteUmetisha ni wakati wako! watasubiri sana akina dimpoz, ali k, ben paul, wote wanaojijua you rock dude! much respect kwako
ReplyDeleteDiamond upo juuuu wewe mkari kimziki hakuna hakuna anaekufikia wenye maneno mpera mpera maneno mchele mechele achana nao piga kazi kwa kwenda mbele watapenda wenyewe kama East Africa wanakukubari wao kina nani acha watukane waseme upo juuuuuu hauna mpinzani bana
ReplyDelete