Mwanamitindo na mtangazaji asiyekaukiwa na matukio mbalimbali nchini Marekani,Kim Kardashian ameibuka na jipya ambapo safari hii inaelezwa kuwa ana mpango wa kuanzisha mavazi yenye jina la Mwanaye.... Rafiki wa Karibu wa Star huyo amesema Lloyd klein amesema ''Mpango wa Kim wa sasa ni kuhakikisha anaibuka na staili mpya ya mavazi ya watoto na kwakua amejifungua hivi karibuni basi jina la mwanaye North west ndilo litakalotambulisha aina hiyo mpya ya mavazi''
Licha ya mtu huyo wa karibu wa Kim kufunguka,lakini star huyo ajafunguka Kiundani zaidi....Basi cheza na Blogsite yako kupata habari moto moto na za kina zaidi...
0 comments:
Post a Comment