Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview
baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa
mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa
juzi,mwitikio
wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma
email zao pamoja simu,kiasi ilituwia vigumu
kuwataka wote waje kwenye interview,ilitubidi
tuchague baadhi ya watu ambao tulihisi wanaweza
kukidhi sifa tulizozihitaji ingawa nao pia tulipata
changamoto ya wengi wao kuja pasipo kuzingatia maelekezo
na maagizo ya tangazo lilivyotaka,hivyo jana
nikishilikiana na wataalamu wa hizo sekta tulisaili
na mwisho wa siku tutachukua wale wenye viwango
tunavyovihitaji na kuungana na team ya WCB-WASAFI,.....
Ahsanteni sana.
Usaili kwa vitendo ndiyo kitu tulichokizingatia zaidi......
Tukiangalia kazi za mmoja ya watu tuliowafanyia usaili
hey bro what if am in kenya?
ReplyDeletelakini kaka wewe unachagua watu unawajua wewe iweje ushinde kufanya hata uwanjani ukafanyia ndani
ReplyDeleteWe chagua unaona wanaweza
ReplyDeleteWatu wasikuuingilie katika swala la Management angalia mziri zaidi ndiyo apite ili kazi yako leo kesho iwe na ubora zaidi big up Diamond
ReplyDeletehiyo ni bahati yao mungu ndo kawapangia, kama bahat yako ni yakwako atakama interview ikifanyika london, som tim inabid tujifundishe kukubal kushindwa
ReplyDeletesema bro diamond, inabid utafute canon c500 au c300, ili upate quality nzur ya 4k, au kama ikishindikana jalibu hii canon 1dc. ikishindikana kabisa tafuta hii new camera ambayo ni Blackmagic Cinema Camera, inauwezo waku Recording 2.5K resolution. ambayo ni more than 1080p resolution. link yake hiyo apo http://www.ebay.com/sch/i.html?_trksid=p2050601.m570.l1313.TR0.TRC0.Xblack+magic+cinema+camera&_nkw=black+magic+cinema+camera&_sacat=0&_from=R40 .
ReplyDeletebecause apo nimeona camera kama canon 5d or 6d. ili kuiongeza nguvu kampun yako sio mbaya kununua moja ya hiyo camera au zaid ya izo. kama utakua nayo sio mbaya coz huu ni ushauli. kwa info zaid nichek facebook henry selengia
Pa1
ReplyDeleteunatoa nafasi kwa vijana wenzio wapate mkate wao wa kila siku safi sana keep it up
ReplyDelete