wewe vipi diamond sio dogo...umeimba vizuri sana na nimefurahi kukuona unaimba live music..,,sasaa tengeneza nyimbo za kwiswahili unamix na english zako mwenyewe...na endelea kuimba live msic na practise sauti..ukiimba nchi yeyote wakubebe juu juu..mimi nakupenda sana niko arusha ninaweza kuja 29 kukuona mount meru.
Duuh ilikua hatari sana dogo, hata wenyewe wakiisikia wanafrahi
ReplyDeletehiyo ni kali mwenxangu.. apa kenya twakufagilia.
ReplyDeletehttp://bonixxnina.wordpress.com
Uko sawa bro,
ReplyDeletewewe vipi diamond sio dogo...umeimba vizuri sana na nimefurahi kukuona unaimba live music..,,sasaa tengeneza nyimbo za kwiswahili unamix na english zako mwenyewe...na endelea kuimba live msic na practise sauti..ukiimba nchi yeyote wakubebe juu juu..mimi nakupenda sana niko arusha ninaweza kuja 29 kukuona mount meru.
ReplyDelete