Recent Comments

PICHA:MAPEMA LEO ASUBUHI,VIJANA WANGU WAKIPATA KIFUNGUWA KINYWA CHA MWANZA


 Tulifikia kwenye hotel ya Gold crest,na bada ya
 kuwasili  kama ilivyo ada yangu,ilinibidi nifanye 
mazoez kwanza kuweka viungo sawa na wakati huo
 vijana wangu waliutumia,kupata chakula cha asubuhi.

 Dumy,Tonser Emma na Moze....!!!!
 Dumy aka Baba Aayan
Si kwa mwili huu ule chakula kiduchu..mlinz
 wangu binafsi Mwarabu akitendea haki mwili wake...!
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. KWA KWELI NDIYO MAANA WANAAFYA NZURI MAANA MATUNDA NAONA WAMEYAPA UMUHIMU WA KWANZA SAFA SANA DIAMOND BOSS UNAEJALI WAFANYAKAZI

    ReplyDelete