Kama utakumbuka tour yetu iliyopita,tulifikia hapa
,nina kila sababu njema za mimi na team yangu hapa
kwa mara nyingine tena..Ni moja ya hotel
bora kabisa Kusini mwa Tanzania na Tanzania kwa
ujumla..ikiwa located pembezoni kabisa
mwa ufukwe wa bahari ya hindi
.. mbali ya vyumba bora,chakula na huduma safi zinazopatikana
pale utaweza kufurahia hewa safi na manzari ya kuvutia ya
Ufukwe wa bahari ..Wiki hii team nzima ya
Wasafi tutafikia hapa.Kumbuka
tour hii imedhaminiwa
na vodacom ambao wanakupa nafasi adimu ya kulala kuhudumiwa ndani
ya Naf beach buree wewe na umpendae,cha kufanya follow
account ya Vodacom @vodacomtanzania
MWONEKANO WA NJE,USIKU
BAR
MIKUTANO ROOM
SITTING ROOM YA MOJA YA VYUMBA
MOJA WAPO YA VYUMBA
team nzima ya wasafi na mrembo sepetu mke wako!narekebisha kichwa cha habari!!
ReplyDelete