WASAFIIIIII.... |
Safari ilianzia hotelini kuelekea Ukumbini..... |
Hali ilikuwa hivi kabla ya Mimi kupanda Jukwani.....!! |
Pole Pole...Nilianza kukinukisha na Askari wangu.... kwenye Stage....!! |
Mapedeshe wa Geita nao awakuwa Nyuma......!! |
Ntakuwa mchoyo sana wa fadhira endapo sintowashkuru Twins Fashion kwa hizi Outfit kali wanazonitengenezea... kweli Tanzania tuna Vipaji.. eb tazama mwenyewe hizi nguo, kwakweli wanastahili pongezi... |
Mafia Mnyama...On the one N two...!! |
one of my favourite picture kwenye show hii... |
Eti Nani Amenuna.....? Nani Amenuna?? |
this wan called "Afe kipa afe beki lakini ushindi Lazima!!!" |
Wotee....woteee..... Nimpende Nani...? Nimpemndee? Geita...Nauliza....?? |
Aaaah kulewa...Kulewa....!! |
dah! hakika palikua hata pakueka mguu hakuna... yani kadri muda ulivyozidi ndio ukumbi ulizidi kuwa mdogo jinsi watu walivyojaa |
Put your F**k***n Hands on the AIR......!! |
duh! si ilikuwa kidogo tu zichapwe baada ya raia kuona wanakosa huondo pindi wakitaka kupanda stage na Security wanawazuia... |
Aaaghaa.... |
Kwa Michezo wa Kuringa Ringa ndio huwa wanadata.....Badilika usiwe mjinga...?? malizia wewe sasa.....!! |
Aghaaaa Kidogo.......!! |
Dumy & Emma....!! |
Baada ya Show Vijana walidondoka Club pembeni ya hotel na kujirusha kiaina...! |
Dumy Utamu & Mafia Mnyama....!! |
U guys work so hard, seeing u pple on stage ni fun sana. May God bless u
ReplyDeletewe rily need 2 see da vids...k....!!!!
ReplyDeletesina cha kusema ila mzigo wauweli kinyama
ReplyDeletewe n mkali wang sio sir umeshika so la africa masharik wang
ReplyDeleteNna hamu sana kukutana nawe karibu. Wewe ni nomaaaaa. Watoto wa KG town tunasema FUNGA KALOMO HIYO
ReplyDeletewell doing Mr. Keep it tight
ReplyDeleteYou are killing me Dumi Utamu!
ReplyDeleteNice guys mnatishaaaaa
ReplyDelete