Kwanz kabisa ningependa kutanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa Mwenyezi Mungu kwa siku ya Jana....Tarehe 30 march niliwasili salama salimini mjini bukoba Mkoani Kagera....Pili niwashukuru Mashabiki zangu wote Mkoani Humu kwa kunipokea kwa hali na mali ,Hii inaonyesha jinsi gani watanzania wanathamini na wana mapenzi na wasanii wao.....!! Nililazimika kutoka Juu ya Gari kuwasalimu kabla sijaelekea hotelini.... Nilivotokeza hali ilizidi kuwa mbaya zaidi....Polisi walilazimika kufunga barabara kadhaa mjini bukoba na hata kazi zingine kusimama kwa muda kutokana na watu kuzingira Gari nilokuwepo kila kona nilipokuwa pita.....
Zifuatazo ni Picha Jinsi wananchi walivyojitokeza kunilaki kama mfalme mjini Bukoba....!!
Duh wewe noma,lakini naomba nikuulize mbona arusha ukija kiingilio ni cha juu sana kuliko sehemu zingine,acha izo watu wanashindwa kuja kwa sababu hiyo,ok vipi waachwe watoto waje kwako umekuwa bwana yesu sasa wewe acha utundu ndugu yangu,umetisha kaka kiukweli uko juu .
Ongeza bidii tuanze kuona nyimbo zako MTV, BET e.t.c tunabaki kuwaangalia Camp Muller, Navio, Keko, P-UNIT wakati kiumaarufu all over E.A bado sana kwako. Najua umenisoma mdogo wangu....keep the good work.
Uko juuuuuuu Diamond nasema hakuna wakukufikia na tunakuombea mungu uendelee kuwa juuuuuuuuuuuuu juuuuuuuuu juu zaidi safi sana kijana ,unaimba vizuri ,unavaa vizuri,unacheza vizuri big up
ww ndo mfalme wa wafalme big up mkuu.
ReplyDeleteUsiniiite Bongo Flavor japokuwa Bongo ni Yangu! ila wewe nakuaminia mwanaguu!!
ReplyDeleteunatisha kijana
ReplyDeleteStarted from the bottom now we're here
ReplyDeleteStarted from the bottom now my whole team fucking here
hongera
Ooooh! Lov this , we love u diamond. .. jamani much love this pplehav shown to u
ReplyDeletewe ni noma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletebig up kijana... unatisha aiseee
ReplyDeleteDuh wewe noma,lakini naomba nikuulize mbona arusha ukija kiingilio ni cha juu sana kuliko sehemu zingine,acha izo watu wanashindwa kuja kwa sababu hiyo,ok vipi waachwe watoto waje kwako umekuwa bwana yesu sasa wewe acha utundu ndugu yangu,umetisha kaka kiukweli uko juu .
ReplyDeleteDah! hao kanga moko si mchezo!
ReplyDeleteUnanyota kama ya sepetu
ReplyDeleteunatisha mkuu
ReplyDeleteOngeza bidii tuanze kuona nyimbo zako MTV, BET e.t.c tunabaki kuwaangalia Camp Muller, Navio, Keko, P-UNIT wakati kiumaarufu all over E.A bado sana kwako. Najua umenisoma mdogo wangu....keep the good work.
ReplyDeleteNimefurahi zaidi jinsi ulivyopokelewa kwetu!!!
Uko juuuuuuu Diamond nasema hakuna wakukufikia na tunakuombea mungu uendelee kuwa juuuuuuuuuuuuu juuuuuuuuu juu zaidi safi sana kijana ,unaimba vizuri ,unavaa vizuri,unacheza vizuri big up
ReplyDelete