Choka sana midaa hii,nimewasili mkoani Tabora mahususi kabisa kwaajili ya Fiesta mkoani humu hapa nipo na Flowers,Linah Sanga na Mwasiti Almasi uwanja wa Ndege wa mkoani Humu, mashabiki wa Tabora basi siku ya kesho midaa ikiwadia tusogee uwanja wa Ali hassani Mwinyi uje uoene muziki mzuri FIESTA 2013- twenzetu sasa....
am your number one fan bro, big up
ReplyDeleteKama kawaida kuwapagawisha ukipta na nzega ndo usiseme dah 100 100 bro big up sana
ReplyDeleteWasafi fanya kweli Tabora nawaaminia mko juuuuuuu unapendwa na wengi sana wachache tu wanakuchukia waridhishe wengi big up mwanangu
ReplyDelete