Recent Comments

NIPO TABORA TIME HII FOR FIESTA 2013-TWENZETU

Choka sana midaa hii,nimewasili mkoani Tabora

mahususi kabisa kwaajili ya Fiesta mkoani
humu hapa nipo na Flowers,Linah Sanga na Mwasiti
Almasi uwanja wa Ndege wa mkoani Humu,
mashabiki wa Tabora basi siku ya kesho midaa ikiwadia
 tusogee uwanja wa Ali hassani Mwinyi uje uoene muziki mzuri
 FIESTA 2013- twenzetu sasa....

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments:

  1. am your number one fan bro, big up

    ReplyDelete
  2. Kama kawaida kuwapagawisha ukipta na nzega ndo usiseme dah 100 100 bro big up sana

    ReplyDelete
  3. Wasafi fanya kweli Tabora nawaaminia mko juuuuuuu unapendwa na wengi sana wachache tu wanakuchukia waridhishe wengi big up mwanangu

    ReplyDelete